Duration 3:32

MRADI WA MAJI WA MILIONI 877.5 KUNUFAISHA WAKAZI 3715 MUHEZA

38 watched
0
2
Published 20 Oct 2023

Mradi wa Maji unaotekelezwa na Serikali kupitia wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) katika Kata ya Mbomole na Sakale zilizopo tarafa ya Amani Wilayani Muheza mkoani Tanga unatarajia kunufaisha zaidi ya wakazi 3700, Mradi utakaogharimu kiasi cha Tsh Milioni 800 ambapo hadi sasa ujenzi wake umefikia asilimia 72 huku ukiratajia kukamilika ifikapo 30 November 2023 Akizungumza wakati wa kuweka Jiwe la Msingi katika mradi huo, Mkuu wa Mkoa wa Tanga Waziri Kindamba amesema uwezo wa mradi huo katika Kutunza maji ni Lita laki moja na Nusu (150,000), ambapo matumizi kwa wakazi wa hapo ni lita elfu Tisini pekee ambapo hadi kufikia sasa zaidi ya Tsh Milioni 215.3 zimekwishatumika.

Category

Show more

Comments - 0