Duration 6:10

Vuta nikuvute Halima Mdee na Polisi Kawe.

252 456 watched
0
667
Published 28 Oct 2020

#Uchaguzi2020 #Kawe Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe Mhe.Halima Mdee, amekamatwa na jeshi la polisi kwa madai kwamba ameingilia zoezi la uchaguzi, baada ya kudai kuna mabegi ya kura feki yanayoingizwa kituoni hapo. Hapa ni sehemu ya mzozo wa Halima Mdee na polisi.

Category

Show more

Comments - 819
  • @
    @chazbhai92684 years ago Usikate tamaa dadaetyu mungu atupe uzima one day tutashinda.
  • @
    @bjzee19814 years ago Mwenyezi mungu amuadhibu kilawenye kudhulumu.
  • @
    @mwalongojulius17554 years ago Mungu amlipe sawasawa na matendo yake aliyeamuru mitandao kuzimwa kama siyo sasa badae kama siyo badae kesho kama siyo kesho week mwezi mwaka afedheeshe kama alivyo tufanyia yeye na walimtuma kama mungu aishivyo amen.
  • @
    @selemanmuhidin21124 years ago Dar, uchaguzi gani huu mungu tusaidie upite salama.
  • @
    @veronicapaulo22334 years ago Pole kwawale ambao wanadhani hawakupata haki yao.
    ila mimi nafikiri kwamba njia sahihi ilikuwa wananchi kugoma kupiga kura kama walihisi tu id="hidden2" umefanyika na kuingiza mabegi yenye kura ambazo hazikuwa halali
    . ...Expand
  • @
    @karanibonge59064 years ago Alafu kulikua na wangalizi wa kimataifa ila walisema uchaguzi ulikua huru na haki chakushukuru mungu yupo na anaona pia kunamaisha baada ya uchaguzi tuchapeni kazi.
  • @
    @israeleliah71634 years ago Daaah ndy mme shinda kwa kishindo hvy. 3
  • @
    @mgessykishiwa26664 years ago Mungu ataleta heshima yetu tu karibu sana.
  • @
    @alicemzaza84604 years ago Cyo haki kabisa uchanguzi wa mwaka cji kupiga kura tena cyo kabisa lakn mungu ni mwema atatusaidia cku atajibu maombi yetu.
  • @
    @reaper55344 years ago Mungu anawaona. Hasira ya mungu ni kali mno kuliko mnavyofikiria. 9
  • @
    @mabenatv85544 years ago Halafu mshindi gwajima mtumishi wa mungu.
  • @
    @halimaalsaad54694 years ago Uongozi mmeukuta namtauwacha kwakwelisiwezi pigakura maisha yangu yote.
  • @
    @baba5tv634 years ago Yan ccm kama mnajiamin kua mnapendwa kwann mnawatesa wapinzani. 2
  • @
    @georgezablon35224 years ago Hatukuwa na uchaguzi ss, ila waacheni tu hao ccm. 2
  • @
    @amenatanzania31484 years ago Kweli nimeamini mungu analipa hapahapa duniani.
  • @
    @simbarajabu41574 years ago Nashangaa sana kumbe mmeshazoea kuwatisha watu safari akuna tupa kule sauti ya zege.
  • @
    @masaielia20764 years ago Serkali mnatangaz aman huku mmeficha mapanga iko wapi aman yetu tanzania. 43
  • @
    @shizoshop24694 years ago Siku mungu akinijalia kukutana na gwajima nitamuonyesha hii clip harafu nitamuulizaushindi wako?
  • @
    @barakakimaro23944 years ago Duh wananchii wanakomaa kweli huo ndo umoja.
  • @
    @emmanuelben4564 years ago Kidumu chama cha mapinduzi kidumu chama tawala. Yeah.
  • @
    @ericklibaba11984 years ago Itoshe kusema huu ndio uchaguzi wa hovyo toka tanzania ijipambanue kama nchi huru. Na africa mashariki kwa ujumla. Daaah inaumiza sana ase. 2
  • @
    @thomasraiton77604 years ago Mchungaji gani askofu gani anakubali kirahisi kujihusisha na siasa wakati anajua siasa ni ufisadi uuaji uongo na mengine mengi ikiwemo uchawi na ushirikina?
  • @
    @manassehjoseph34384 years ago Daah hii ndo tanzania nchi ya amani mh god bless us!
  • @
    @rashidngwawile90624 years ago Haibu sana hii kama wao ndo washindi sa kwa nn waibe kura.
  • @
    @fredichaki48684 years ago Majizi ya kula yana julikana tu yani adi haibu ovyo.
  • @
    @dani721304 years ago Siku hizi mabegi yanabebea kura, ni mabadiliko makubwa haya, hongera gwajima kwa ushindi.
  • @
    @salemaltameem88454 years ago Wao hawapigani mabomu vo. Wanatuuwa sisi tu wapemba.
  • @
    @africanheroestz-acapella24584 years ago Arusha yetu iko shwari sana tumeshampiga mtu chini sasa hv tunaendelea na maisha.
  • @
    @issaally79284 years ago Akuna namna zaidi ya kutorewa na jeshitu.
  • @
    @jenifamligo51994 years ago Halima nakukubali sana lakn ndo ivyo daah. 1
  • @
    @bjzee19814 years ago Mungu afanye haki hapa hata kama nikumchukua anae dhulumu.
  • @
    @nestor3844 years ago Uchaguzi wa ulioharibika kuliko chaguzi zote zilizowahi kuwako huko nyuma. 16
  • @
    @valenakomba44534 years ago Hata hiyo siasa yenyewe ikiwa ndo hivi si bola ueche tuu. Maana unataka sana kujulikana. Ukifa ya vizuri sifa zitakuja zenyewe, hutakiwi kulazimisha.
  • @
    @afandehassan14 years ago Police force keep law and order please. 4
  • @
    @augustinejoseph89574 years ago Ccm ilikua ya zaman kwasasa ni cc wehu.
  • @
    @izooozist68194 years ago Hii nchi tutaishi ngizani paka lini. Utawala mbaya zaidi.
  • @
    @ibrahimbakar6224 years ago Uchaguzi huu wa tz ni ovyo kuliko chaguzi zote.
  • @
    @buyukubwa97134 years ago Kuna nini hapo mbona sielewi maana kelele tu.
  • @
    @kiandangulwi35464 years ago Tutende haki itapendeza otherwise sijui.
  • @
    @aminaprincess98734 years ago Itv rudisha taarifa tuone kawe kuna nini.
  • @
    @paschalkasapa32494 years ago Duuh hata mtumishi wa mungu anatumia ushindi wa bao la mkono hii inasikitisha san.
  • @
    @munaahmed84994 years ago Halima mdee shida sana kubali tu umestaafu ulichovuna bungen kinatosha ndgu yng.
  • @
    @erickmageta5044 years ago Nimemkumbuka sanani kiongozi ni mtawala na mbunifu wa kutatua. 2
  • @
    @abelianraphili51504 years ago Kumbe ndo maana mtandao ulifungwa ili hii tusione.
  • @
    @wadeelegbogun30154 years ago Mwaka huu bangi zenu zitawaaisha ni aibu sana. 1
  • @
    @amosgerald77634 years ago Yaan nyie polic wasenge kuharibu uchaguz.
  • @
    @joymsupagladysijeya83844 years ago Lakini sio poa kunimbia halima kura nampenda uyu mama anajituma sana.
  • @
    @swahilientertainmentworld42664 years ago Hakuna haja ya kupiga kura tz imeharibika.
  • @
    @karanibonge59064 years ago Leo ndio mnaweka hii habari wakati uchaguzi umeshapata nyinyi waandishi hampo fear kweli. 1
  • @
    @ericklibaba11984 years ago Wapinzani wanaonewa sana tanzania kwa kiwango cha juu. 11
  • @
    @jumajuxmaboneti78844 years ago Tunaomb msiiuwe watu tena nishapotez kaka angu juz 2 kwwny huu uchanguz nyie mungu anawaona.
  • @
    @chescomolla55574 years ago Eti mtumishi wa mungu, mungu gani anaebariki wizi wa wazi kama huu, napata mashaka sana na wakristo wanaoongozwa huyu kibaka. Nimeamini hata yale yaliyokuwa . ...Expand
  • @
    @mwanaidiharoun94914 years ago Pole kapumzike mama kwa kweli tulikuchoka ila basis tuu mikocheni ujafanya lolote nenda bhaana bora kawe irudi chama tawala duu. 1
  • @
    @wisemangodfrey9214 years ago Hivi huwa wanaililiaga hii nchi au wanaliliaga nafasi zao na status.
  • @
    @esterrhobi28244 years ago Uchochezi tu wakati hata kura hujapiga.
  • @
    @zalkiabendera72384 years ago Ila kunawatu wakijiona wanarkodiwa wanapaza saut.
  • @
    @frankd11564 years ago Umaskini mbaya sana. Hawa polis njaa msiwalaumu sana.
  • @
    @mussabulugu63194 years ago Mnashabikia kitu hujaona ndo mnaanza kutengeneza drama kwamba wameiba kura kumbe ndo umeshindwa watu wamekuchoka huna hata maendeleo jimbon kaz kususa tu. 1
  • @
    @abcdabcd16054 years ago Dah dhulma waziwazi awa ccm cjui mpaka lini izi tabia. 1
  • @
    @mzalendomzalendo25674 years ago Anajua hata shinda ndio maana analeta vurugu, 1
  • @
    @guccijackson30554 years ago Nchi hii nna watu wake
    ngoja nitafute hela ni hame.
  • @
    @emmanuelkonki594 years ago Magufuli haki iko wapi cnhi inachafuka.
  • @
    @m.mmarckus62984 years ago Jimbo la kawe kila mwaka nasubiri tu atakayepita ndombunge wangu.staki kumchukia mtu nawakat mm pia sijui km napendwa siasa pia siiwezi niko busy kupambania maisha yangu .. ...Expand 13
  • @
    @mohamedmzeeassuufiyy13344 years ago Mimi nimekuzwa na ccm lkn chaguzi hii imenitia kichefu chefu.
  • @
    @pastorjamesmajaliwa78434 years ago Daa serikali hiii
    ndio maana mm siitaji kuwa mwenye chama chochote yanayo endelea ni upumbavu ambayo tujawai ona leo tunayaona.
  • @
    @wallaceigeoge75154 years ago Itabaki story ukiona manyoya ujue kimeriwa.
  • @
    @karolikisaka89914 years ago Waliwaandaa viongozi wa dini kutufitini
    huu ni uhuni
    hakuna amani pasipo haki.
    23
  • @
    @tztanzania22624 years ago Tukio la kwanza uchaguzi serikali za mitaa
    tukio la pili uchaguzi mkuu 2020
    hakuna chaguzi za ajabu kama hizi mbili zote ktk awamu ya ngosha.
  • @
    @bebebebe56774 years ago Mi nataman nijue matokeo ya jimbo la kawe. 1
  • @
    @mzeejombi80474 years ago Dah msilalamike wananchi huu ndk uchaguz huru na wahakki.
  • @
    @mariasalomemelchiorkaigaru19744 years ago Haya mambo ni nchi zetu tu ndio yanatokea.