Duration 4:39

IBADA YA KUWAOMBEA VIONGOZI WALIOKWISHA TANGULIA MBELE YA HAKI

241 watched
0
1
Published 15 Oct 2021

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema tukio la kuwakumbuka viongozi wa Tanzania waliotangulia mbele ya haki ni muhimu sana kwa sababu muda wote walijitoa muhanga kwa nchi yao na kujenga taifa lililo huru lenye kuzingatia haki na usawa bila ya kujali rangi,kabila wala dini.

Category

Show more

Comments - 0