Duration 2:46

WAZIRI MKUU atua Lindi | | Aridhishwa na kasi ya ujenzi wa madarasa

820 watched
0
1
Published 28 Dec 2021

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameridhishwa na hatua iliyofikiwa kwenye ujenzi wa madarasa yanayotokana na fedha za maendeleo mkoani Lindi. Ametoa kauli hiyo leo mchana (Jumanne, Desemba 28, 2021) wakati akizungumza na viongozi wa mkoa huo kwenye uwanja wa ndege wa Nachingwea mara baada ya kupokea taarifa ya kila wilaya.

Category

Show more

Comments - 1