Duration 40:50

Part1: STAMINA - Mkoa unaokalisha kwa Hip Hop ni Morogoro, Amewachana Dogo Janja, Young D na Weusi

56 924 watched
0
649
Published 30 Jul 2017

THE PLAYLIST ni Show kali ya weekend inayowashusha mastaa kibao ndani ya Studio za 100.5 Times FM kuchagua ngoma 5 kali wanazozikubali na kupiga mastori kibao kuhusu Music, Fashion & LifeStyle, Gadgets & all that. Show inaruka kwa hewa kila Jumamosi, Saa 6 - 8 Mchana kupitia frequency ya 100.5 Times FM chini ya Presenter Mkali, the Baddest boi, Omary Tambwe aka Lil Ommy. Subscribe, Watch, Share. Niguse kwenye social networks: http://www.instagram.com/lilommy http://www.twitter.com/LilOmmy http://www.lilommy.com for more interviews, hot news, exclusives, music, videos, artists profiles, gossip etc.

Category

Show more

Comments - 77