Duration 4:9

MAAJABU: MATUKIO MATANO AMBAYO HAYANA MAJIBU MPAKA LEO DUNIANI

670 423 watched
0
5.6 K
Published 6 Sep 2019

MAAJABU: MATUKIO MATANO AMBAYO HAYANA MAJIBU MPAKA LEO DUNIANI

Category

Show more

Comments - 156
  • @
    @arasanaamour5032 years ago Hii story ni mzuri ila haijapata msimuliaji. 8
  • @
    @hamisabeid11095 years ago Maana yake ukifa wanatokea watu wengine kama aliyefariki inategemea utazaliwa nchi gani. 22
  • @
    @amourmohd73675 years ago Aa bro hatkuelew turudishien mtiga abdallah. 3
  • @
    @lampadshigonko3006last year Heavy elements (mfano; chuma) inazaliwa baada ya star kufa. 2
  • @
    @mumbua0042 years ago Mngeeka babu owino n. A. Czar wakenya mnanielewa jameni hehe.
  • @
    @guccij35494 years ago Me nxhawai kuota ndoto afu ikatokea kwel. 1
  • @
    @emamuharamain45525 years ago Broo unaongea haraka sana yan daah. Ngum sna kueleweka jaribu kumsikiliza ananias edger. 10
  • @
    @rechomassawe635 years ago Eee bwana e, inabidi nichungulie future kupitia simpson cartoon. 12
  • @
    @yangproduuza31635 years ago Duu bac na mm ntakuwa na pacha wang kweli mungu n mwema. 7
  • @
    @ashurajengela39262 years ago Hujui kusimulia aisee kha utafikiri unakimbizwa.
  • @
    @chynabongoo35635 years ago Ujatueleza vzr wapo weng wa hivi wengne ata sio maarufu. 1
  • @
    @hamiduhamisimrisho4323last year Wasaf alud jamali story book ndy anae jua kusmulia na watu tukamuelewa.
  • @
    @brightnessleonald-hs8iblast year Hii kazii waachie wenyewe we huwez unatuchanganya tuu.
  • @
    @atrendtv4822 years ago Kuna picha ningependa kukutumia ya majabu naweza kutumia aje?
  • @
    @ismailjuma40215 years ago Lincolin na kennedy walitolewa kafara na wazee wa kazi illuminat. Na ijumaa around kuanzia saa tano asubuh ndo muda wao. Ko wakristo wazuri muwe mnawaombea mateka wa kichawi ikfka sku hyo wajameni. 3
  • @
    @furahashayo3132 years ago Bas ndiyo maana hata mimi ninahis hapo zamani nilikua mwimbaji. 4
  • @
    @Abdillah214last year Hivi bado mnaamini kama time travel ipo, kuna kifaa gani chenye spidi ya muangaza mpka leo hi.
  • @
    @luckynightolga71403 years ago Sasa mm nitazaliwa marecan na mwenye atakuwa raisi.
  • @
    @amiltonmichael53775 years ago Duuh mmecopy bright site man, mmh sio kwa kugandamizia. 5
  • @
    @khadjikareem57805 years ago Inaitwa time travel means unaeza kua mbele ya mda au nyuma yani ni kuingia kwenye wakati ambao siyo wakati wako mfano kuna matukio tashatokea miaka ya 15th ambayo ni yaleo hiyo ni time travel. 13
  • @
    @karimhamisi46274 years ago Mbwembwe nyingi hata haueleweki unazungumzia nini jifunze kupitia wengine.
  • @
    @moseshaule586last year Hata magufuli azaliwe tena jamani aje awanyooshe.
  • @
    @flochege9465 years ago Dunia ina mambo mm siku ya kusaliwa kwa mamangu ni sawa na siku ya kifo chake tarehe na mwezi huohuo. 6
  • @
    @oscaroscaroscar79745 years ago Ndio mana wanasema ukifika tanzania unaenda zaliwa huko amercan or ruvu. Mimi mama yangu kafa kitambo mnoo ila cha ajabu kuna dada kafanana nae paka nalia nikimuona huyo dada. 9
  • @
    @maswamills3161last year Uhai wabinadamu haufi ni mbegu hai, ni mizunguko tu kama mbegu zingine. 1
  • @
    @charlsesospeter94492 years ago Acheni uwongo mna tuona majinga mbn mnaweka langi mbili tofauti ili mtunfanganye vizur nyoko mtu mmoja mna semaha felali semen tutume picha za mwanzilishi wa magar ya felali kama wata fanana na uyo ozil wenu mbwa nyie. 1
  • @
    @mikequavo54815 years ago Hii chanell ikona ujinga kupidukia. Kwedeni uko.
  • @
    @ambarmbarak30445 years ago Hhh bc mfanano mwengine wa ray c na recho
    musipost utumbo.
    12
  • @
    @mussajuma70842 years ago Hayo maandishi ya nini mnaweka kama mnasimulia acheni hizo mambo.
  • @
    @abdullahiahmed48065 years ago Ndungu yangu make your own videos acha kutafsiri videos za other you tubers.
  • @
    @GamiTVOnline5 years ago Mngeweka na mfanano wa alikiba na bush man. 46
  • @
    @uswazitv30025 years ago Me ata sielew umesimulia nin. Rud shule tuh mzee uelewek. 1
  • @
    @gasperkanje89305 years ago Jamaa ongea taratibu basi unakimbizwa au bando? 1
  • @
    @raphaelkimario80735 years ago Fursa ya biashara kwa ambaye yupo sirius anicheki ibox0785140599. 2
  • @
    @christiangodfrey88845 years ago Wadau ni hivi illuminat hupnga nani awe rais marekni. Mfano trump alishapewaga ulinzi wa kirais miaka zaid ya 20kuna matajiri wawi ambao huchagua nani aiongoze na kwa dhumun gan mfano obma ni kuahada waafrika wakat rais wa lwanza amerca ni mweusi hawamsemi chma democratc waasis wake ni weusi. ...Expand 2
  • @
    @amonmligo78195 years ago Vipi kuhusu mfanano wa ali kiba na bush man jamani au hiyo hamjaiona. 3
  • @
    @fridgeac4804 years ago Mnatafuta views kwa video za uongo pumba nyie.