Duration 3:1:45

Rais Magufuli- Nilitaka Kuwa Padri, Ila Nabii Tito..

36 119 watched
0
109
Published 4 Feb 2018

Rais Magufuli- "Nilitaka Kuwa Padri, Ila Nabii Tito.." Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, amehudhuria katika sherehe za kumuweka 'WAKFU' Mch Jackson Sosthenes Jackson, zilizofanyika katika kanisa la St Alban lililopo Posta, jijini Dar es Salaam. Katika sherehe hizo Rais Magufuli ametoa hotuba ya kumpongeza Mchungaji Jackson, na kuwasihi waumini wote wa dini nchini, wawe na moyo wa kusamehe na wayaheshimu maandiko ya dini yanavyoagiza, huku akimtolea mfano nabii feki aliyeibuka hivi karibuni 'Tito Machibya', ambaye alikuwa akitoa mahubiri ya kupotosha na yasiyoendana na maandiko ya dini ya kikristo. Subscribe muda huu www.youtube.com/user/uwazi1 Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe /c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli ..

Category

Show more

Comments - 12