Duration 2:4

BREAKING: ZITTO NA MBUNGE BWEGE WAKAMATWA NA POLISI, CHEKI KILICHOTOKEA

6 684 watched
0
26
Published 23 Jun 2020

Jeshi la Polisi Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi leo Juni 23 limemkamata Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe akiwa anajiandaa kuongoza kikao cha ndani cha wanachama wa chama hicho. Mbali na Zitto waliokamatwa wengine ni Aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini Seleman Bungala maarufu 'Bwege', Sheweji Mketo ambaye ni Katibu wa Kamati ya Oganaizesheni nwa chama hicho.

Category

Show more

Comments - 20