Duration 5:45

KWA NABII MKUU GEORDAVIE, HAKUNA MANENO MENGI HAPA KUNA KAZI TUU JE UNATAKA AKUTENDEE NINI

7 605 watched
0
44
Published 24 Aug 2020

Hi Imewashangaza Watu Wengi Sana Kwakua Nabii Mkuu Geordavie anahudumiwa watu Pasipo Maneno Mengi Na wanapokea Mahitaji Yao Yote, Hakika Nabii Mkuu Geordavie Ni Nabii wa tofauti Sana Na MUNGU Amempatia Namna ya Kufanya kazi Kwanjia ya Tofauti na Watumishi wengine wote Hapa Duniani, Nimekua nikiona Watumishi wengine wakitumia Mafuta, Fruto, chumvi ,na Vitu Vingine, ila Hii Namna Ya Nabii Mkuu anavyohudumia Waumini wa NGURUMO YA UPAKO, Inanishangaza Sana,Pia Nimependa Sana, inaonyesha Nguvu Kubwa Ya MUNGU Ipo Ndani Yake, Subscribe ili uwe Wakwanza kupata Habari zinazotokea Hapa ✨ ANGAZA ZAIDI TV 👐

Category

Show more

Comments - 14