Duration 4:20

Kakamatwa na Bangi Kagera lakini alivyojitetea kila mtu akacheka

3 439 765 watched
0
13 K
Published 17 Feb 2017

Hii imetokea katika Wilaya ya Karagwe mkoa wa Kagera ambapo Mkuu wa Wilaya hiyo Godfrey Mheruka anafanya Oparesheni ya kukamata Watuhumiwa wa dawa za kulevya ambapo anashirikiana pia na Wanajeshi kwenye Oparesheni hiyo.

Category

Show more

Comments - 1313