Duration 4:1

Angalia magoli yote, Simba Queens ikiitandika Yanga Princess 3-0 Ligi ya Wanawake -

710 204 watched
0
2 K
Published 5 Mar 2021

YANGA VS SIMBA: Timu ya Wanawake ya Simba imepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya watani wao wa jadi Yanga Princess katika mchezo wa ligi ya wanawake uliopigwa leo kwenye Dimba la Uhuru, Dar es Salaam. Magoli ya Simba kwenye mchezo huu yamefungwa na Mwanahamisi Omary, Opah Clement na Joell Bukuru. Ushindi huu umeifanya Simba ikae kileleni ikifikisha pointi 39 huku Yanga wakibaki na pointi zao 38 katika nafasi ya pili. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 279