Duration 3:51

NIYONZIMA: Sevilla ni zaidi Yetu, Wametufunga 5-4 Ni Wazoefu

57 386 watched
0
163
Published 23 May 2019

Subscribes:/c/KidaniStars TIMU ya Sevilla ya Hispania imefanikiwa kutwaa Kombe la #SportPesaChallenge baada ya kuwafunga wenyeji, #SimbaSC mabao 5-4 katika mchezo maalum wa kirafiki Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam usiku wa Mei 23, 2019. Lakini haukuwa ushindi mwepesi, kwani Sevilla waliomaliza nafasi ya sita kwenye La Liga msimu walilazimika kutoka nyuma kwa mabao 3-1 hadi mapumziko ili kushinda 5-4. Nahodha wa klabu, John Raphael Bocco alianza kuifungia Simba SC dakika ya nane kabla ya mshambuliaji mwenzake, Mnyarwanda Meddie Kagere kufunga la pili dakika ya 14. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars

Category

Show more

Comments - 58
  • @
    @jaladollar77455 years ago This is simbaaaa wanangu komaeni hayo maneno tu hata kwenye kanga yapo simba ni club kubwa sana na siyo uwongo wachezaji mnauwezo mkubwa tena sana club kama sevila mnatoka nao kwa tofauti ya goli 1 ujue nyie mnao cheza nao mna uwezo mkubwa.sasa nawashangaa hawa watu wanao ibeza simba eti simba katia aibu eti dida hajui kudaka nawashangaa sana nataka kuwa uliza mlitaka simba wacheze mpira wa aina gani pale siyo siri ingecheza club nyingine ukiachana na simba ingefungwa magoli pia kitu kingine mnatakiwa mjuwe ule ni mchezo kufunga,kufungwa au dro ni moja ya mchezo na ile ni friend match kwa hiyo kitu ni kimoja watanzania tunatakiwa tuwe wazalendo mfano club ya simba ikitajwa huko Spain inatajwa ni club kutoka Tanzania sasa Mimi na kushangaa mtu povu Lina kujaa maneno mengi yasiyo kuwa na mbele wala nyuma.nimalize nakusema This is simbaaaa. .. ...Expand
  • @
    @magynzioka11225 years ago Congratulations simba anae walaum sithani hata ana jua kucheza mpira mliche vizuri zaidi na pia tim kubwa mlikua mnashidana nayo. 3
  • @
    @dullybrown36355 years ago Kocha si wa kulaumiwa. Ww imagine siku inakuja barcelona afu hupewi nafasi ya kuchezakafanya kitu kizuri kuonesha sana ila nae ana hamu siku moja kucheza na kina banega na wengineo. ...Expand 8
  • @
    @williamnkini68555 years ago Simba never give up you can do the best.
  • @
    @maigwaomar98525 years ago Kwanza naipongeza timu yangu ya simba sports kwa kuonyesha mpira safi na wakisasa ila kocha katugharimu sana kafanya surb za ovyo ila all in all nawapongeza simba. 1
  • @
    @mtelekaramadhani15825 years ago Yote kayataka coach patrick ausemse kuwapa nafac kila mchezaji acheze. 5
  • @
    @ashelyabel30085 years ago Coach huwezi kumulaum ile ilikuwa kumpa nafasi kira mchezaji maana mchezo ulikua km burudani ili kira mmoja aoneshe uwezo wake, 1
  • @
    @hatujuaniimani64835 years ago Ni kweli kabisa mabadiliko tu ndio yametukwamisha hata sare tungetoa.
  • @
    @edwinimwakibete27285 years ago Msiwasikilize waxhabik wasenge mko vizur simba.
  • @
    @evalinmumbo69945 years ago Yote mliyatak mna ingiza midebwedo mna toa watu wazuri. 2
  • @
    @hassanmagwe49775 years ago Mnadai mnakikosi kipana iweje mlaumu hesabu ya kocha?
  • @
    @BenMula3115 years ago Afazali umewa elewesha sasa hawa wanao mind.
  • @
    @yoelikunyaranyara10715 years ago Kiujumla sevila hawatuwezi kwa anayejua kipindicha mabadili hakukuwa na beki line yenye uzoefu badala yake kulikuwa na forward line, kisha ingekuwa simba . ...Expand 2
  • @
    @gilbertmbwambo24445 years ago Kwanza hakuna aliyekuwa anajua simba ingefanya kitu kama kile kwan simba na sevilla ktk mpra wameachana mbali sana.
  • @
    @malihassan59105 years ago Hakuna uzoefu ujinga wa kocha sub za kipuuzi.
  • @
    @injilikwamataifa69105 years ago Ni mwendo wa khamsa.
    khamsa united camp. Et mabadiliko kwan walioingia hawakua wachexaj wenu mliosajiri. Rashd juma ana ubovu gan. Mpilpli ana ubovu gan. Ni mwendo wa khamsa.
    1
  • @
    @footballprayers1325 years ago Ama kwel watanzania tuna mashaka sanaa. Kumbe simba walikuwa na tamaa kuwa sevilla ndio wanavyocheza wakiw wanataka k2 vle ah hebu ache jmn wale wamekuja . ...Expand 1
  • @
    @chalesfabian66925 years ago Ila kam sio kocha kupiga sabu nyingi tulikuwa tunashinda kabisa kwakweli koch kinibowa.
  • @
    @habibrwegoshora96535 years ago Mna kiherehere sana kwnn nyinyi mna nn? Labda 5 yanga ingeshinda kutokana na ukubwa wao simba ni timu ndogo mnabebwa na tff mnajikweza sana kwa wakubwa zenu. 2