Rose Rwakatare alia na wajane na yatima atoa tamko rasmi kuwa atafuta nyayo za mama yake kuwasaidia. Aliaysema haya siku ya Jumapili 11.07.2021 katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" kwenye ibada ya Kufuta Kalenda Ya Uovu Katika Maisha Ya Watu iliyoongozwa na Bishop Rose Mgetta
Category
Show more
Comments - 3
Related videos for Rose Rwakatare alia na wajane na yatima atoa tamko rasmi kuwa atafuta nyayo za mama yake kuwasaidia: