Duration 6:11

NAIBU WAZIRI SILINDE AMJIBU MBUNGE MAGESSA UJENZI VITUO VYA AFYA BUSANDA

497 watched
0
1
Published 18 May 2021

Mbunge wa Busanda, Bryceson Magessa amewapambania wananchi wa jimbo hilo kwa kuihoji serikali ni lini italipatia jimbo la Busanda vituo vya Afya hususan Kata za Butundu na Busanda? Mbunge Magesa alihoji hivyo wakati wa Mkutano wa Tatu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikao cha 29, Mei 17 2021 wakati wa kipindi cha maswali na majibu ambapo alijibiwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais (TAMISEMI), David Silinde bungeni Dodoma. Mdau, Nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Magessa akipambania jambo hilo muhimu kwa afya za wananchi wa jimbo la Busanda pamoja na majibu ya Naibu Waziri Silinde.... Imeandaliwa na Richard Mwaikenda Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 0754264203

Category

Show more

Comments - 0