Duration 2:23

EmTVNews; ALICHOKIZUNGMZA RAFIKI WA KARIBU WA FREDWAA 'FREDRICK BUNDALA, NIMEMPOTEZA BOSS WANGU

759 watched
0
8
Published 13 Jun 2021

Juni 12, 2021 tulipokea taarifa juu ya kifo cha mtangazaji nguli wa mda mrefu, Fredwaa amabaye kwa mjibu wa taarifa za awali zilisema kuwa amefariki kutokana na ajali ya agari, hivyo marafiki zake wengi wakaribu walionekena kuhuswa na msiba huo kutokana na post zao mbalimbali kwenye mitandao ya kijamaii hasa instagram, akiwemo aliekuwa rafiki yake wa karibu sana 'fredrick bundala' ambapo nimekusogezea kile alichokiandika. Follow #Intagram https://www.instagram.com/tv/CQCOfMIFicM/?utm_source=ig_web_copy_link Follow #Facebok https://fb.watch/65zRicj5kI/

Category

Show more

Comments - 0