Msanii legend wa bongofleva Afande Sele amekaa kwenye Exclusive ya AyoTV na kuelezea kwanini anataka bangi ihalalishwe kimatumizi nchini Tanzania, tazama hii Interview kisha uniachie comment yako.
@shaibmakame79818 years agoAfande you speak the truth tanzania ni unafiki tu mwingi wanazuia bangi ila wanachukuwa ushuru wa rizzla big up brother. 2
@
@deusmauka96266 years agoHongera sana kwa kudili na kilimo na ufugaji. 8
@
@edwinmaruchu55663 years agoAfande uko sahihi sana. Bangi iachiwe. Hata waliofu gwa kwa haya majani ni ubatili. Nchi iliyoendelea ya canada imeamua kuacha huru, baada ya kugundua. ...Expand2
@
@gabrieladam10654 years agoMzinga wa konyagi mzima watu wanabugia hafu bangi tu ndo ikatazwe, hapanaa bangi iwe free kwanza ni mboga nzuri sana. 2
@
@ipyanamsomba80266 years agoAfande genius sana, alwayz on point we jamaa. 1
@
@mustafaate37317 years agoWanazng kweli afande sele nakubl nimekuelewa. 5
@
@aminajafari21266 years agoMazala ni mengi sio bange 2 hongera afande watakuelewa 2 unaona mbali zaidi ya darubin. 5
@
@sirialemmy378 years agoJembe langu afande. Hata mimi nikiigonganga, siwezi sahamu theory, concepts, modals zozote kwenye exams zangu. Bangi ni kama roho mtakatifu. 26
@
@greenlight48936 years agoHuku kwetu usa na canada bangi itaruhusiwa inchii zima kuanzia (july 09 2018) 2
@
@mohdmanondo76213 years agoUyoo mungu si ndo ulomtukana we ndo unategemea upate baraka zake sahau rabda utubu.
@
@rosewamboi90796 years agoTruee waache bangi. I also do smoke bangi it a herb mi kwanza nikiwa mgojwa nikivuta bangi ugojwastory let the government give us freedom.
@
@tatunaally15107 years agoBangi ajaacha mtu salama huyu bangi zimemchanganya km alisema akifa achomwe yeye ana mungu jua simshangai. 1
@
@youngtz75386 years agoBangi amani kufikiria maisha tu ndiyo kz ya bng wala sio mbaya kabisa. 3
@
@henryndosi85696 years agoWewe bangi imekuzibua unataka na wengine, 4
@
@fredinandonde32926 years agoSafi sana hata mimi nashangaa rizla zinauzwa madukani sijui kwa nini. 1
@
@mohdmanondo76213 years agoUyo ni mshenzi tu kamtukana mungu yy anajiona ni bora kuliko munguui ee.
@
@loveyourneighbor2048 years agoUmenena ukweli nibora bangi iwe free smoke weed free everywhere. 2
@
@hashimpandu55033 years agoSi dhani kama hata inaingia akilini hii maana bangi hihii leo hii imefanya imtukane mungu je unadhani inaingia akilini je wakati leo hii imesha fanya mtanzania. ...Expand
@
@dennisjulius72064 years agoWe must smoke weed always for good meditation tell them reality ..1
@
@yangaebiasal32373 years agoDaah jamen unafiki wanakura kitimoto unamanisha nguruwe et umewambia ukwer.
@
@mosesmkami51685 years agoMwenye namba ya afande sele aisee anipe.
@
@jamilaismail80628 years agoKweli kabisa kuna vitu vinamadhara sana km viroba vijana wamekuwa km mazombie kisa wanachukua kodi na sigara pia inamadhara kisa inalipiwa kodi ndo wanaona. ...Expand9
@
@charlcoke6 years agoHahahahahahah na umeivuta kweli ahahahahahaha, hilo jasho aise! 4
@
@neziali69926 years agoNakukubali kaka mm mwnywe navuta nainatia nguvu hasa nikiamua leo nataka mechi hta bao 8 sna tu nikipata bangi zngu nainjoy sna tu. 4
@
@user-vw5pd3uu9o8 years agoKaongea kitu cha ukweli kabisa wara hajakosea. 3
@
@fabricemugheni29503 years agoFabrice mugheni mumuache afande sele na amani vita ya mungu tumuachie mungu <span id="hidden6" akuna ajuae siri ya mungu kila mmoja na imani yake. ...Expand
@
@alliymkobe39496 years agoSele mungu anakuona naukifa utaenda mueleza mungu upotoshaji wako huo. 1
@
@abdulban96258 years agoHahaha. Afante umeisifia sana bangi. Eti yachizisha lakini haiui. 1
@
@hawamusumbawanghatognola44708 years agoUlaya za padwa pia nidawa walipuwe ni ukweli. Africa kwetu walami wanakuja. Kwetu. Kununuwa mashamba hamjui kwa sababu gani. Tuwamukeni. 7
@
@francekomba76155 years agoAfande atabaki kua afande tu msema kweli.
@
@mordreddesantos14926 years agoDaa ukiwa huna elimu huna dini hua km myama. 1
@
@ayoobalqasmi30628 years agoMmh kiama shangilien tu ila kuna mahesabu tujue. 1
@
@marimalasmi18057 years agoAisee kaongea point hahahahahah jaman mara mie pastor natembela na waimba kwaya.
@
@elisantemrita98943 years agoMm situmii bangi ila nilichangamka maneno ya mbunge msukuma + mbunge kishumba na huyu afande sele kiukweli naona kunamaali serikali imelala inapaswa iamke.
@
@afropanorama47308 years agoHivi afande unacheo gani mana umeongea point tupu. 16
@
@johnkaleli52315 years agoWatu wanaosema bangi ni mbaya ndio ambao hawajai onatu. Bangi ihalalishwe. 2
@
@jamesshake84048 years agoUsicho kila wala usikitie hila. Afande sele umegusa ndipo twaishi kwa dunia ilo jaa unafiki na uwoga wa tusio yafahamu na utumwa wa akili. Tulio huru kifikra tupo huru kimaamuzi pia. 13
@
@dicmacwangwe81268 years agoTarime mkulima wa bangi haxhkk na keel hats viongz wanalima kinyama.
@
@dubabaxakazoom.55306 years agoMimi bangi ilinikataanikaendesha bike nikaona kama narudi nyuma. 6
@
@halimaamini80157 years agoWauzwe tu km mboga nilivuta siku moja nikaona kitanda. 27
@
@hawamusumbawanghatognola44708 years agoAfande bravo una akili sana ni ukweli. Mimi navuta mpaka naenda holand. Napia natumia pesa nyingi wambie wajuwe. Nipesa. 1
@
@charlesjustin41005 years agoHuyu ana matatzo kwanza hakuna ajli ya bahat mbaya hata moja ilieleweke hlo afende arud shule kwanza. 1
Related videos for EXCLUSIVE: Afande Sele 'bangi ihalalishwe tu Tanzania':
kufikiria maisha tu
ndiyo kz ya bng
wala sio mbaya kabisa. 3
mumuache afande sele na amani
vita ya mungu tumuachie mungu <span id="hidden6"
akuna ajuae siri ya mungu
kila mmoja na imani yake. ...Expand
naukifa utaenda mueleza mungu upotoshaji wako huo. 1
kiukweli naona kunamaali serikali imelala inapaswa iamke.
mana umeongea point tupu. 16
ilieleweke hlo afende arud shule kwanza. 1