Duration 3:50

RAIS SAMIA ATOA ZAWADI za KRISMAS, MBUZI, VYAKULA kwa MAKUNDI ya WATU MBALIMBALI

780 watched
0
3
Published 23 Dec 2021

RAIS SAMIA ATOA ZAWADI za KRISMAS, MBUZI, VYAKULA kwa MAKUNDI ya WATU MBALIMBALI... Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 23 Desemba, 2021 amekabidhi zawadi mbalimbali kwa makundi maalum kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya. Zawadi hizo zimekabidhiwa na, Mnikulu Saidi Ali Juma, kwa niaba ya Rais Samia kwenye vituo vya Nyumba ya Amani na Furaha kilichopo Mburahati na Kituo cha Kulea Watoto Wanaoishi katika mazingira hatarishi kilichopo Msimbazi Centre Jijini Dar es Salaam. Bw. Said Ali Juma amesema Rais ametoa zawadi hizo kwa makundi hayo maalum ili nao waweze kusherehekea Sikukuu ya Krismasi na Mwaka mpya. Wakizungumza Kwa wakati tofauti, Wasimamizi wa Vituo hivyo wamemshukuru Rais Samia kwa uamuzi wake huo unaoonesha kujali na kuthamini makundi hayo kama ilivyo kwa wananchi wengine. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: /playlist/PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: /playlist/PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 6