Duration 27:3

Mwanamke Kiziwi anaefanya mambo makubwa Tanzania

260 watched
0
5
Published 15 Aug 2019

Alizaliwa akiwa na shida ya kusikia, lakini alifanikiwa kwenda shule na sasa anamalizia masters,changamoto zikamfanya kuanzisha taasisi itakayowasaidia wale wenye shida kama yake na sasa anamiliki kiwanda kidogo kinachozalisha bidhaa na watengezaji wakiwa ni watu wenye ulemavu wa aina zote.

Category

Show more

Comments - 5