Duration 11:1

Anthony Mhanda - Kilimo Biashara katika shughuli ya ufugaji nyuki na uvunaji wa asali.

Published 6 Dec 2014

Angalia video hii fupi ilionyeshwa ITV Jumanne 2 Februari ya kijana aliyefanikiwa kwenye kilimo biashara kupitia ufugaji wa nyuki na uuzaji wa asali. Kwa mawasiliano zaidi na Anthony piga numba 0766736782. Usikose vipindi vya 'Vijana na Kilimo Biashara' vinavyorushwa moja kwa moja ITV kila Jumanne Saa 12:30 - 1:30 jioni.

Category

Show more

Comments - 15