@financialloan98185 years agoNishabonyeza bro kwa sababu unaitendea haki kazi yko big up. 8
@
@adamjafari96215 years agoDahh shikamoo mr coper, nakubal kaz yako. 1
@
@africangirls4825 years agoKopa umetisha mwanangu nawakubali sana majamaa kama nyie kama pablo escobar adolf nawengine. 2
@
@eddyeddy71515 years agoSafi sn kk nice job, ila nahic kopa na fbi mchongo m1. 1
@
@christianbaba99715 years agoTuletee historia ya nicole tesla mvumbuzi ac. Umeme. 6
@
@nalingacomedian32515 years agoKama unamfahamu vzr sana juan mata bhaasi davista ana haki kujiita mata nadhan nshaeleweka. 2
@
@jasoniplan25215 years agoPamoja san, ubakikiwe kwa kuzd kutupa elimu.
@
@emmanuelsamwel28655 years agoDaaa kopa izo pesa zipo uku jmn kwangu. 4
@
@danielelnest64875 years agoHii bonge la story, davista we ni noma aisee.
@
@sistajoy15 years agoDuh atari sana asante kwaku tuhabarisha. 5
@
@muusmart20155 years agoMzee baba hatar sana wew mtu nakuelewa sana mwanangu. 11
@
@mdeeboy8465 years agoJamaa una mwili simple, but mambo makubwa safi sana akubariki na wewe pia. 5
@
@phineruge34805 years agoPenda sn stor zako davister kwan sijawai jutia mb zangu kwa ajili ya kukusikiza.
@
@jimmyndossi2755 years agoKopaa ww noma miaka 40 upelelezi unafanyika bila majibu.
@
@abuuashyam84175 years agoMm nilizani huyu jamaa niprofesa wa mambo ya ndani ya usalama heshima kwako davista. 2
@
@rashidyahya57275 years agoNgoja me ni comment bcs nimetamani kuwa copper. 1
@
@halfankwimbi85845 years agoUpo vzr sn bro, sijawahi kucomment kwenye youtube ila wewe nmekupa saluti.
@
@laylisaid95635 years agoDuu hatali kuwali aligiamini kwa nguvu zote bilaw esiwesi.
@
@jacksonlicky38265 years agoUnajua kuna wezi wengine unawatafuta ili tu uwape zawadi maana wamevunja rekodi.
@
@fredynyakunga28945 years agoDahh watyu wasiokamatwa nawakubali hatar kopa atakuwa mtyu wa pili kumsikia baada ya yule aliekufa kwa kansa. 6
@
@abdulyabdunuru14765 years agoBro mi nakukubali ile mbaya uskonde tunahitaji what' sap group kama mchango tutakuchangia. 20
@
@benoit2niyukuri1165 years agoMzee baba next time tupe history ya tupac utakuw umenisaidia sana thank you. 11
@
@eliatoshaluka48745 years agoKama unamkubali jamaa usi skip matangazo kwenye video zake.
@
@Diamondvideomix5 years agoMjiandae mnaopanda airbus ntateka muda sio mrefu. 2
@
@jogoogayo71045 years agoKunalaia wamebarkiawa mawazo yakuona mbali copoa.
@
@meshackmgunda87895 years agoDuh sasa ht tetes tu kuwa yupo wap hamuma.
@
@bulayaconfidential72125 years agoCopper noma sana, hata akifa kaacha arama!
@
@noelmunuo46605 years agoMmmh! Mr. Kopa popote ulipo kunywa kinywaj nakuja kulipia. 20
@
@azizaz16285 years agoYaani ck zote marekani wanakuwa ga wababe cjui kwann jamaa aliyewaazima parachuti kuna kitu aligundua badala ya kumtumia ili wafanikiwe wakaona ni bore kumuua.
@
@abuuashyam84175 years agoBroo kama kuna muvi wameicheza ya kopa tuekee nayo tuione.
@
@eliasmwaki86495 years agoUyo alivaa ngozi ya bandia, na akatumia jina feki.
@
@lucasmhagama81665 years agotuwekee historia ya black september sehemu ya tatu.
@
@phanricky5 years agoHawa watu wakisha fanya matukio wafany na mpango wak kuacha hata usha hid wa video tuwajue ni kina nani mamae zake mr copa yaan hii story naona kma ina endelea.
@
@abdulrahmanmussalonka49355 years agoDah huyu jamaa me nikadhani ni bonge la jitu, kumbe ana mwili kama mimi tuh, duh ndugu hongera sana, ki ukweli uko vizuri. 6
@
@elitegeneration16135 years agoNingekuwa na akili kama za copa ningetsha sana. 9
@
@andrewmsunga94255 years agoNinauhakika kopa atakua fbi mwenzao, haiwezekan akawa na akili nyingi hivyo. 4
@
@charlesfundisha63765 years agoNimekusoma mkuu hii story ni moja kati story ambayo nilipoisikia mala ya kwanza nilitamani muenderezo wake sasa leo nimeisikia muenderezo lkn sijaelewa. ...Expand
Related videos for MTU ALIETEKA NDEGE NA KUDAI APEWE FEDHA (MWISHO ):
akubariki na wewe pia. 5
heshima kwako davista. 2