Duration 11:4

Wanahabari wasimulia masaibu yao kazini

248 watched
0
10
Published 22 Mar 2018

Wanahabari huelezea habari za wengi na pia kuhusu mengi.lakini ni nani huelezea habari za wanahabari? Yaani kwa muktadha wa masaibu wanayopitia ili kuhakikisha kuwa wanakufahamisha yanayojiri.Leo hii Victor Wetende atakujuvya mengi kwenye habari ifuatayo,ambayo pia itabainisha idadi ya wanahabari walioumia na kufariki wakiwa kazini.

Category

Show more

Comments - 1