Duration 31:59

SIRI YA KUAMKA BILA UCHOVU KILA SIKU

191 617 watched
0
2.4 K
Published 22 Jun 2019

Please watch: "FIKIA MALENGO YAKO KIRAHISI " /watch/AEB06hqV3uPV0 --~-- Watu wengi sana wanalala masaa mengi lakini wanaamka wamechoka sana asubuhi. Tatizo ni nini? Katika mfumo huu wa maisha ya sasa ni muhimu sana kufahamu mbinu muhimu zitakazokuwezesha kuenda sawa na kasi ya maisha ya teknolojia lakini bila kujiuza mwili au afya yako. Jifunze jinsi ya kulala kwa usahihi kuanzia leo. Tiba ya kuamka na uchovu. Sambamba na alarm yako katika kukuamsha, pia tumia website hii : https://www.sleepyti.me/ Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine. . NIFUATE MITANDAONI INSTAGRAM: https://www.instagram.com/ezdenjumanne/ TWITTER: https://www.twitter.com/ezdenjumanne FACEBOOK: https://www.facebook.com/ezdenjumanne LINKEDIN: https://www.linkedin.com/in/ezdenjumanne . For Business please send me an email ezdenjumanne@gmail.com Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076 #SuccessPath #EachOneTeachOne #EzdenJumanne

Category

Show more

Comments - 311