Duration 2:5

Agness Masogange Alichopost Kabla ya Kifo Chake

493 524 watched
0
875
Published 20 Apr 2018

Subscribes:/c/KidaniStars Leo Majira ya Saa Kumi Na moja kasoro zilianza kenea taarifa za kifo Cha Mwandada Video Vixen Agness Gelard Maarufu Kama Masogange Subscribes:/c/KidaniStars Subscribes:/c/KidaniStars Insemekana Sababu Za kifo Chake ni Baada ya Kuzidiwa Ghafla na kufikishwa katika hospital Ya Mama Ngoma Iliyopo Maeneo Ya Mwenge Jijini Dar Es Salaam Baada ya kuzidiwa Ghafla na Kukimbizwa katika Hospital hiyo. Marehemu Masogange ambaye Hivi Karibuni alikukwa akikabiliwa na kesi ya matumizi ya dawa za kulevya lakini hukumu yake ilishatoka na kufanikiwa kulipa faini ya shilingi milioni moja na nusu kifo chake kimewashtua wengi Ilibidi niingie katika akaunti yake ya Instagram na kukuta mara ya mwisho kupost katika ukurasa huo ilkuwa siku Nne Zilizopita jambo linalothibitisha kuwa mwandada huyo hakuwa vizuri kiafya. Na hizi Ni Baadhi ya Post za Mwisho kuwekwa katika akaunti ya marehemu Agness Masogange ambayo inajulikana kama agness official1 Huku Watu Mbali mbali wakiendelea kutoa pole katika akunti hiyo ya mwanadada Agness Subscribes:/c/KidaniStars

Category

Show more

Comments - 99
  • @
    @chachake7616 years ago Can' t believe you gone. Rest in peace.
  • @
    @heckmart52654 years ago Gone but never forget may her soul rest in peace.
  • @
    @Kenya-dv7ls6 years ago Wallahi tumuogope mola
    huku duniani tunapita tu wote
    inna lillahi waina illahi rajiun.
    7
  • @
    @zahraahmed47896 years ago Mungu akuweke pema penye wema mungu akuhifadhi dadaa akuepushie na adhabu za kaburi amii mamaa.
  • @
    @juliuskilawe85126 years ago Mungu akulaze mahali pema peponi masogange. 2
  • @
    @martinyohani37576 years ago Pumzika kwa amani masogange, mungu akupunguzie adhabu ya kaburin.
  • @
    @TeamKRX6 years ago Nakutakia safar ya heri agnes ulale salama kaa nimkono wa mtu nae anasiku yake kaa ni mambo ya mungu alhamdulilah ina lilla waina ilaihi.
  • @
    @neemaegnatio77252 years ago Dada alikuwa mzuri uyu tena nashepu yake ama kweli udongo unakula vitu vingi sanaa.
  • @
    @yakoboisack90546 years ago Tusimpangie mungu amuweke mahali pema wakati alikuwa kochaa.
  • @
    @juniorsmart24836 years ago Ntarudi baadae jamani ngoja nilie kwanza,
  • @
    @sharonnatasha21276 years ago When will people realise that we have only one god. Anyway rip. 5
  • @
    @samirhassanlau14736 years ago Sasa jamani hapa ndio mazingatio tujifunze, huyu dada amefariki lakini hana picha alioiacha nzuri, zote hazina maadili sasa tuelewe kua uzuri wako utakusaidia jamani tujifunzeni kupitia kwa misiba y wenzetu kwani mauti hayazoeleki na maisha y dunia ni mchezo udanhanuao. ...Expand 1
  • @
    @suleymanally47294 years ago Nyie mnaosem kua apumzike kwa amani huko mnapajua au mwasema tu?
  • @
    @idrisasalum80136 years ago Hapa kila mmoja ni rip, mazingatio ziro, tunapaswa kujua kwamba cc wanaadam tupo duduniani kwaajili ya kumuabudu muumba ni kufatata maandiko yamesema nn . ...Expand 13
  • @
    @moudymussa76466 years ago Bina adam sikitu si cho chote hata uwe mzuri vp na kuwa na dharau kwa 7bb ya uzuri wako leo upo wp?
    majivuno yako yaote yapo wp kudharau hata id="hidden3" wanaume juu ya urembo wk mungu muachene aitwe mungu,
    r. I. P masogange,
    . ...Expand 2
  • @
    @rozeeroz25156 years ago Comment zote nimesoma hakuna hatamoja yamaana pumbavu zenu unaambiwa hujafa hujaumbika hakuna hatamoja wentu aneijua kesho yake hata mi pia sijui kesho yangu inakuaje kwaiyo msijikweze mupo ajikwezae atashushwa.
  • @
    @lortyexcel62286 years ago Please can someone explain in english what happened to her for me. 5
  • @
    @salamahamadi41236 years ago Namuone hurumaa uko aliko hanaa pichaa hata mojaa ya staraa apolee. 9
  • @
    @chazkimola84286 years ago Roho wa bwan aamlaze mahali pema peponi.
  • @
    @jambotv.6 years ago Boss number yako plz yangu ni 0763902833.
  • @
    @samirhassanlau14736 years ago Sasa jamani hapa ndio mazingatio tujifunze, huyu dada amefariki lakini hana picha alioiacha nzuri, zote hazina maadili sasa tuelewe kua uzuri wako utakusaidia jamani tujifunzeni kupitia kwa misiba y wenzetu kwani mauti hayazoeleki na maisha y dunia ni mchezo udanhanuao. ...Expand 1
  • @
    @idrisasalum80136 years ago Hapa kila mmoja ni rip, mazingatio ziro, tunapaswa kujua kwamba cc wanaadam tupo duduniani kwaajili ya kumuabudu muumba ni kufatata maandiko yamesema nn . ...Expand 13
  • @
    @moudymussa76466 years ago Bina adam sikitu si cho chote hata uwe mzuri vp na kuwa na dharau kwa 7bb ya uzuri wako leo upo wp?
    majivuno yako yaote yapo wp kudharau hata id="hidden7" wanaume juu ya urembo wk mungu muachene aitwe mungu,
    r. I. P masogange,
    . ...Expand 2