Duration 3:22

UKUTA MACHIMBO YA TANZANITE WAZUSHA HOFU KWA WACHIMBAJI WADOGO

20 533 watched
0
40
Published 9 Feb 2018

Wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wamehofia ujenzi wa ukuta kuzunguka migodi hiyo usije kuharibu utaratibu wa mahusiano ya kibiashara kati yao na wachimbaji wakubwa.

Category

Show more

Comments - 5