Duration 12:52

Mstaafu Mwinyi ashindwa kujizuia amwambia JPM Nitakufa hivi karibuni

352 434 watched
0
1.1 K
Published 3 Oct 2018

#MWINYI #JPM Mstaafu Mwinyi ashindwa kujizuia amwambia JPM "Nitakufa hivi karibuni" Rais Dkt John Magufuli leo Oktoba 03, 2018, amewaapisha viongozi wawili aliowateua ambao ni Mwantum Mahiza, aliyeteuliwa kuwa Skauti Mkuu Tanzania pamoja na Dkt Faraj Mnyepe ambaye ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wizara ya mambo ya nje. Tukio hilo linafanyika Ikulu jijini Dar es Salaam na limehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kisiasa akiwemo Rais Mstaafu wa awamu ya Pili, Alhaj Hassan Mwinyi, Waziri wa Elimu ambaye ndiye Rais wa Skauti, Profesa Joyce Ndalichako, Mwenyekiti wa Skauti wa Bunge ambaye pia ni Spika wa Bunge, Job Ndugai, pamoja na viongozi wengine. bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://ww.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Suazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli .

Category

Show more

Comments - 252