Katika Mpango Shirikishi na
Harakishi awamu ya pili dhidi ya afua za kinga za kinga
UVIKO-19, zinaelekezwa timu za afya katika Halmashauri na Mikoa kuendelea kuwatumia Wahudumu wa Afya ngazi ya Jamii ili kuendelea kuhamasisha na kuelimisha jamii juu ya hatua mbalimbali za kujikinga na UVIKO - 19 ikiwa ni pamoja matumizi ya chanjo.
Category
Show more
Comments - 0
Related videos for SERIKALI KUZINDUA KAMPENI MAALUM DHIDI AFUA ZA KINGA YA UVIKO-19::