Duration 1:23

MASHABIKI WA SIMBA HUWAAMBI KITU KWA MO DEWJI

15 627 watched
0
65
Published 18 Jul 2021

Simba SC Leo baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya Namungo FC katika kukamilisha ratiba ya mchezo wa Ligi Kuu leo walikabidhiwa Kombe lao la Ubingwa wa nne mfululizo wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2020/2021.

Category

Show more

Comments - 6