Duration 6:11

Kachori ( Zanzibar Mix Part 2) Kiswahili

534 157 watched
0
3.8 K
Published 3 May 2016

Miahitaji: Mbatata pound 1 Kijiko kidogo 1 tangawaizi mbichi ya kusaga Kijiko kodogo 1 thom ya kusaga Ndimu 1 Kijiko kidogo 1 pilipili ya unga Nusu kijiko kidogo bizari ya manjano Kijiko kidogo 1 chumvi ( au zaidi) Majani ya giligilani kidogo ( kama utapenda) Unga wa kuchome kachori: Unga wa ngano Nusu 1/2 kikombe Maji Nusu 1/2 kikombe Bazari ya manjano kidogo kama utapenda Chumvi kidogo kama utapenda Maji ya kuchemshia Mafuta ya kukaangia English version /watch/AW274rkWhKTW7

Category

Show more

Comments - 371