Duration 15:42

MAMA ATOLEWA KWENYE NYUMBA YAKE VITU VYATUPWA NJE AAMBIWA NYUMBA IMEUZWA BILA KUJUA CHOCHOTE

43 656 watched
0
452
Published 10 Aug 2021

Tukio hili limetokea maeneo ya Kigamboni Vijibweni ambapo Mama huyu ametolewa kwenye nyumba yake na kutupiwa vitu vyake nje pasio yeye kujua chochote huku akiwa hajui pakuelekea yeye pamoja na wapangaji wake.Kwa mujibu wa Mama huyu anasema alipowauliza watu hao waliokuja kumtoa kwanini wanamtoa alijibiwa kwamba Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa pamoja na Mjumbe wanafahamu. Fwatilia hapa kisa hiki kisha utoe maoni yako #geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah

Category

Show more

Comments - 527
  • @
    @kibongobongo46083 years ago Maisha ya watu wengine wanaishi kama serikali wanaimiliki ila hakuna sheria ya kumtoa mtu bila ya notice (only in tz) nadhani polisi wangeingilia kati . ...Expand 5
  • @
    @thumnathumna59463 years ago Mwwnyekit ndio kauza iyo nyumba. Angekuwepo jpm angelimaliza dakika moja tu. 32
  • @
    @christinachazy86443 years ago Dar magufuri tutakukumbuka sana pumzika kwa amani bab. 36
  • @
    @saumusalimuhassan24993 years ago Subhannallah, maguful ungekuwepo baba hizi dhulma zisingekuwepo naumia sana kuona hizi dhulma, uyu mama aende wapi jamani. 6
  • @
    @janetkimati46453 years ago Nimepata hasira sana hivi tanzania imekuwa kama yatima loh mkuu wa wilaya yupo kweli. 19
  • @
    @abuibra3 years ago Unyama wa hali ya juu, hatakama uminunua hiyo nyumba huwezi tupa vitu nje vya watu wanaoishi katika hio nyumba na kuwalaza nje wanawake na watoto zao, alie uza na alie nunua wote roho. 28
  • @
    @gaudensiayustini86693 years ago Dada wasaidie waende kwa mkuu wa mkoa magufuli kafa watu tutanyanyaswa saana. 66
  • @
    @madamloveness72743 years ago Mama samia kwani haya mambo huwa haangalia
    au kazi yake kuangalia chanjo za corona tu, awe na huruma na wanawake wenzake.
    41
  • @
    @valenakomba44533 years ago Wananchi kamvamieni huyo mwenye kiti mupige mawe mpaka basi. Simamemi imara. Maana wanazoea. 5
  • @
    @mwanahalimamwachili96793 years ago Subhanallah, pole mama hakikuuana ndio huku. 9
  • @
    @devothaignatus59113 years ago Pole sana jmn selikar sukuma ndani mwenyekiti na mjumbe. 11
  • @
    @wemakalamu35383 years ago Nimejikuta nalia pole mwanamke mwenzangu mwenyeezi mungu akupe subrah inshaallah. 2
  • @
    @josphinedarani62033 years ago Masikini dadangu polee saana mwenyezi mungu akusimamie kwa hili upate haki yako. 5
  • @
    @ndimimaskati36413 years ago Serikali ndio kazi zao, hata uchaguzi wa wananchi wanadhulumu. 14
  • @
    @kisalaTV3 years ago Mwenyekiti atakuwa kashakula chake hapo. 2
  • @
    @valenakomba44533 years ago Sanaa, poleni jamani. Muda kama huo ukifika, ndo pale tunapoanza kumkumbuka rais magufuli. Sasa hiyo serikali i nafanya nini? Ili kurekebisha sheria za uuzaji wa nyumba na viwanja. 6
  • @
    @arafakiloli7493 years ago Subhannahllah pole sana mama allah akuondoshee hayo madhila. 1
  • @
    @francinenahimana72893 years ago Jamani mimi siko mu tanzania ila kwahili baba magufuli atakumbukwa sana wa nyonge wata angamia sana kama kuku ikifisa kwenye mayayi. 2
  • @
    @namirihamisi38993 years ago Huyo mwenyenyumba wa zamani inabidi aingie ndani kisha huyo mpya atolewe arudi alipotoka mpaka mambo yakae sawa. 10
  • @
    @saidimwishehekienda9333 years ago Watu wa huu mtaa kama wanajua kitu kinaitwa kura ya kutokua nawaipige hiyo mtaa mzima ili kuwamwaga mjumbe na mwenyekiti kwakua hawana msaada kwao. 5
  • @
    @saidaahmed364last year Pole sana mama binadam tumekuwa hatuna utu waladaima tutakukumbuka.
  • @
    @sifahamisi58723 years ago Mama samia hivi sasa onyesha ujasiri wako. 10
  • @
    @mwanaashakombo54593 years ago Mimi wangenizika mzima wallahi weee! Allah atakuonyesha njia mama haki yako itapatikana. Jasho la mtu halipotei pumbavu zao. 2
  • @
    @MohammedAli-rh5si3 years ago Kwa mambo km hayo unafikiri amani itatoka wapi. 1
  • @
    @dottohamisi98443 years ago Subhanallh kwann wamemfanyia hivo huyu mama pole sana mama. 3
  • @
    @benedictamboya44963 years ago Magufuli alisema tutamkumbuka na kweli alimaanisha, tutamkumbuka kila iitwayo leo. Sio kwa uonevu huu. 5
  • @
    @sabihahamadi22873 years ago Dageya mrejesho wayule mama mwenye kigugumizi alietolewa na mume wake mwenye watoto wawili. 2
  • @
    @monikakimath38103 years ago Hapa ndo utaujua umuhimu wa makonda na magufuli. 2
  • @
    @nasribakari1893 years ago Mungu mlaami uyo mama mnunuzi na hao mbwa wengine. 1
  • @
    @samsungoman56263 years ago Mtihani walla pole mama mungu yupo utapata haki yako inshaallah binaadam hatuna huruma. 1
  • @
    @agnesslyatuu80263 years ago Hivi tanzania tuna rais tena au walikufa na rais wetu magufuli. 4
  • @
    @smaihsmaih28153 years ago Allah tulindie mali zetu amiin. Wanusuru waliodhulumiwa. 2
  • @
    @kawtharalbarwani13373 years ago Pole sana mama mwenyezi mungu atakusaidia ukapata haki yako wallah mpaka huruma. 1
  • @
    @leilaabdallah42553 years ago Haya machozi ya huyu mama yanamalipo yake. 1
  • @
    @raujohn82383 years ago Ma police wa tanzania washenzi tu na wanyanya saji pia. 16
  • @
    @oliviaseth46523 years ago Labda walio muuwa ndio hao wamekuja kukutoa nje. 2
  • @
    @carolinembuba81203 years ago Kipindi cha magu mwenyekiti angetumbuliwa daah. 2
  • @
    @beatricemariki75293 years ago Inauma sanani mm walai petrol ingetembea hapo acha wote tupate hasara kwakwel. 1
  • @
    @comulusnimbuss9313 years ago Jaman da gea hili suala livalie njuga kuliko yote tunaomba apate msaada huyu mama. Pana neno hapo.
  • @
    @winfridamwita33703 years ago Mama koma upate haki yko wanawake tunazalaulika mno. 2
  • @
    @azibossladykenny24553 years ago Da geah plz utuletee mwendelezo maana atuelew aya mambo. 1
  • @
    @OmanOman-ky2oo3 years ago Mtihan allah atakupa hali yako hali haipotei. 1
  • @
    @minazsaid24703 years ago Mwenyekiti kashakula pesa huyo wamefanya utapeli gea wasaidie wapate haki yao. 2
  • @
    @gaudensiayustini86693 years ago Peleka mwenyekiti na kamati yake kwa mkuu wa mkoa huo ni unyanyasaji wa kijinsia andamana nendeni kwa mheshimiwa rais. 10
  • @
    @amidabukuru3 years ago Mama fika ukubwani lazima apo urudishie nyumba yako iyo nihaki yako yani unaibia hapo. 1
  • @
    @mimimoop26173 years ago Dah masikini kweli tunamkumbuka magufuli.
  • @
    @robegodana74593 years ago Jamani mbona tanzania mko hivyo kwa mwanamke hana haki heri kenya mara mia. 1
  • @
    @namirihamisi38993 years ago Ila kama ni mikopo nnavyojuwa huwa inatangazwa kwa siku 90 ndio mnada unapita. 2
  • @
    @simulizi26323 years ago Eti kiongozi anasema nipe mda wakati kuna wananchi wanalala nje bongo yetu hii. Wakupe mda kuna watt wanalala nje. 1
  • @
    @zaitunibashiri99623 years ago Huruma kwa kweli ila jomn angekuwa mama angu navyomjua labda wangemtoa roho ao mabamsa angekula nao sahan moja yan na sisi watoto tukiwa nyuma afe kipa afe beki. 5
  • @
    @mrgeorgeisdory52773 years ago Namna hi moto hauto acha kuwaka tanzania
    mawaziri wapo busy na watu walio fumaniana hi inauma sanaa.
    1
  • @
    @saynabmohammed62633 years ago Mama ucitoe karatas zako
    geha msimamie karatas asitapeliwe.
    1
  • @
    @fatmaomary39813 years ago Mmmh hatari sana yani huyu mama apate musaada. 2
  • @
    @nurafedrick3783 years ago Huyo mwenyekiti kwann hakuleta ujumbe awekwe ndani. 1
  • @
    @sylviermuhonjah84113 years ago Thulma hii mwenye kiti kahusika, wanyonge haki yao iwapi? 1
  • @
    @agneschuwa76993 years ago Tanzania yangu kunani jamani inauma sana kuona watu hawana utu kabisa. 2
  • @
    @priscajohn60903 years ago Huyo mwenyekiti kunamchezo kaufanya' wanataka mama wa watu afe na presha. 1
  • @
    @saudahassan66673 years ago Jaman wanasheria mko wapi msaidien huyu mama.
  • @
    @AdoAshu803 years ago Wakwanza ku comment leo
    naombeni like zenu.
    4
  • @
    @raujohn82383 years ago Ndio maana watu wana mkumbuka magu kwa sababu kamaizi yana apo uyo mwayekiti tapeli washampa pesa nawatu wa selekali wanausika pia. 2
  • @
    @hassinaalharthi59843 years ago Jamani vitoto vichanga na mbuu hawo. Poleni saana kina dada.
  • @
    @rosejoseph93783 years ago Pole sana mama daaah inaumiza sana jamani nyumba inauzwa bila ww mwenye nyumba kujua kuna kitu hapo sio bure mungu akisaidie mama upate haki yako. 10
  • @
    @magrethelias67123 years ago Magufuli baba tutakukumbuka daima kwakweli huu ni unyanyasaji kweli da magufuli ww ndie ulikuwa unatusaidia sisi wa nyonye pumzika kwa amani baba. 1
  • @
    @divinamchannel23363 years ago Ni vipaya sana mwe nye kiti anachua yote. 1
  • @
    @sabarluis4933 years ago Huyo atakuwa mume karudi kauza kimya jamani. 1
  • @
    @lenniefei67103 years ago Hii dhulma nzito sana! Serikali ipo wp katika swala kama hili kwa kweli? 2
  • @
    @amidabukuru3 years ago Hawo nimajambazi wanataka kukuibia hakuna mtu atauza nyumba bila kupea hati ya nyumba niwajambazi hawo usikubali lazima serekali ilisimamie ilo tatizo. 1
  • @
    @linahsemindu42613 years ago Mbn naona kama unamtt mdg na mwanaume kaondoka 2014 je huyo mtt baba ake nani" isije ikawa kaona umezaa n mtu mwingine. 1
  • @
    @sanoureyaliwadoa4603 years ago Hi story nais iko iv kma sio ndugu wa mume wameiyuza chin kwa chin baada ya kujua ndugu yao kapotea ama iwe ni njema ya alie muuzia kiwanja uwenda amemgeukia . ...Expand
  • @
    @chukisanga26513 years ago Jaman ad nimelia kwa saut angekuepo baba magufuli halingetokea hilo.
  • @
    @wadhifatv88273 years ago Jamani naomba nijue huyu mama mpaka sasa kapata haki yake au ndio basi tena, mbona roho inaniuma sana! 1
  • @
    @missmoona44973 years ago Mtarithije nyumba ina mke na watt, kama mume alikimbia mkopo wange mwambia, jmn kama kadhurumiwa jmn tuogope moto wa mungu jmn haramu. 1
  • @
    @zainabthimis40253 years ago Wanyonge hatuna mtetezi kwa sasa kila mutu anafanya anavyotaka mungu tusaidie tu.
  • @
    @kiri58073 years ago Sasa huyo mnunuzi siaoneshe makaratasi? Ili ajuulikane kauziwa na nani? 1
  • @
    @nellyrehani5933 years ago Duh apo kwanza uyu mama anatakiwa aulizwe je document za iyo nyumba ziko wapi ao anti ya nyumba je anayo maana apo inaonekana labda ni mme wake anaweza kuwa amemuzunguka apo mbona ivyo jamani. 1
  • @
    @fabiolapanga19333 years ago Nimejikuta nalia tu jaman hii ni nn sasa mwenyez mungu awapiganie.