Afisa Muhamashaji wa klabu ya Yanga SC Antonie Nugazi amewaomba mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwenye mchezo wao dhidi ya Namungo FC utakaochezwa hapo kesho kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam majira ya saa 1 usiku.
Category
Show more
Comments - 4
Related videos for YANGA WATOA KAULI KUELEKEA MECHI NA NAMUNGO KESHO ''WACHEZAJI WANAUMIA KWA KUTOFUNGA MAGOLI'':