Duration 1:12

Wanao Mshauri Rais Asilete Katiba Mpya ni Maharamia wa Siasa

1 319 watched
0
13
Published 3 Jul 2021

Hakuna Mtanzania Yeyote Mwenye Alili timu Atakayebisha Kilichofanywa Na Mwenda Zake Magufuli 2020 Kilikuwa Ni Ujambazi, Ushezi, Uhalifu na Uchafu Mkubwa Dhidi ya Katiba ya Tanzania. Ni sawa Na Baba aliyebadilika Na Kubaka Binti zake na Kulawiti Watoto wake wa Kiume Halafu ati Tunataka Aendelee Kuheshimiwa na Aliyofanya Yaenziwe. Ili Kuyazuia Mauozo, Uhalifu na Pillage ile isitokee tena Na Wala asiyokee Mwenda wazimu Mwingine wa Kulipitisha Taifa Katika Aibu ya Aina Ile. NI LAZIMA KUWE NA KATIBA MPYA ASAP.

Category

Show more

Comments - 0